Usharika wa Igongolo

Mchungaji wa Usharika: Rev. Isaac Mnyalape
simu: +255 753 543 668

Mtunza hazina: Philipo Mpalate
simu: +255 755 747 392

Mitaa: Igongolo, Mludza “A”, Mludza “B”, Itipingi, Ihanzinyi, Ibiki “A”, Ibiki “B”, Itipingi Sekondari

Uhusiano :
Usharika wa Igongolo una udugu na usharika Kilutheri wa Cantate Kirche Feldkirchen na Kirchheim, Ujerumani.

Mwanachama wa Uhusiano :  Chrystine Lechner, Barua pepe: ct.lechner@arcor.de