13. Juni 2025: Harusi ya Mkuu wa Jimbo Boaz Mbilinyi
Harusi ilifanyika katika Usharika wa Rujewa Jimbo Chimala. Askofu Fihavango, Punda. Askofu Gudaga na viongozi wengine wa Dayosisi ya Njombe
Ninakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu, ambaye unaambatana na kazi zetu daima.
Tangu Januari 2014 Ukurasa wa Nyumbani wa KKKT SD unapatikana.
Sasa, mnamo Mei 2025 ukurasa wa nyumbani umesasishwa.
Tafadhali tufahamishe kuhusu habari yoyote unayotaka ichapishwe.
Tunakutakia baraka za Mungu katika kila ufanyalo.
Kwa mawasiliano tafadhali bonyeza hapa!
Harusi ilifanyika katika Usharika wa Rujewa Jimbo Chimala. Askofu Fihavango, Punda. Askofu Gudaga na viongozi wengine wa Dayosisi ya Njombe
Katika Lugoda Dk Johnson Gudaga aliandaa utoaji maalum kwa shule ya msingi ya Lugoda baada ya kuwa Askofu Msaidizi Johnson
HALMASHAURI KUU ya DAYOSISI YA KUSINI imechagua WACHUNGAJI WAPYA WA WILAYA pamoja na NAFASI YAO YA KAZI kwa MIAKA 4
Leo wauguzi wa IIHAS wameadhimisha siku ya wauguzi katika ukumbusho wa Florence Nightingal Tulifurahi kufanya upya kiapo cha
Askofu Dr George Mark Fihavango na msaidizi wake askofu Dr Johnson Gudaga wakizindua chumba kipya cha kuhifadhia maiti katika kituo
Hakimiliki KKKT-SD 2025 | Ubunifu wa wavuti: Oliver Wick