Usharika wa Ilembula

Mchungaji wa Usharika: Mchungaji Geofrey Mtweve
simu: +255 764 422 593
Barua pepe: revgeofreymtweve@yahoo.com

Mtunza hazina: Elai Mgongolwa
simu: +255 764 501 603  
Barua pepe: elaimgongolwa@gmail.com

Mitaa : Ilembula, Igula, Iponda, Ivigo, Kibangada, Kiginga, Luvande, Lulanga, Ngalanga

Uhusiano:
Usharika wa Ilembula ana udugu na usharika Kilutheri Jesuskirche Haar na udugu HA-ILE NGO Haar – Ilembula pamoja na Iyayi na Kanamalenga.

Mwanachama wa uhusiano kutoka kwa Jesuskirche :
Pearl Pandion-Mueller,  simu: +49 179 5928588  Barua pepe: pearl.pandionmueller@googlemail.com

Afisa ushirika HA-ILE :
Jochen Doering, simu: +49 171 946 2078, Barua pepe: jodoehaar@t-online.de