Kituo cha afya cha Kidugala

Kituo cha afya cha Kidugala mwanzoni kilikuwa zahanati.

Kina vitanda 29, mamlaka tabibu 2, afisa muuguzi 1, wauguzi 2. kinaongozwa na Mganga kiongozi Mcg. Fanuel Ngavatula