Kituo cha afya cha Kidugala

Kituo cha afya cha Kidugala mwanzoni ilikuwa zahanati.

Kina vitanda 29, maafisa tabibu 2, afisa muuguzi 1, wauguzi 2. kinaongozwa na Mganga kiongozi Mcg. Fanuel Ngavatula