Usharika wa Wanging’ombe

Mchungaji wa Usharika: Geofrey Mhema
Simu:+255 756 884 506
barua pepe: wangingombeparish2@yahoo.com

Mtunza hazina: Betheli Kitalima
simu: +255 756 966 680

Mitaa: Wanging’ombe, Soliwaya, Itandula, Welela

Uhusiano: Usharika wa Wanging’ombe una udugu na usharika Kilutheri wa Heilandskirche, Unterhaching, Ujerumani

Mwanachama wa Uhusiano:
Tobias Ritter, E-Mail: tobias@ritter-umzuege.net