Usharika wa Usuka

Mchungaji wa Usharika: Mchg. Godfrey Vayinga
Simu: +255 753 641 048

Mtunza hazina: Olina Mtanga
simu: +255 759 470 115

Mitaa: Usuka, Lugoda, Kasagala, Ikemedza, Uligile

Uhusiano: Usharika wa Usuka una udugu na usharika Kilutheri wa Petrikirche, Baldham, Ujerumani

Mwanachama wa Uhusiano: Angelika Wurlitzer, E-mail: WurlitzerA@aol.com,
Dieter Dalheimer, E-mail: Dieter.dalheimer@gmx.de