Usharika wa Uhambule

Mchungaji wa Usharika: Rev. Amina Mtega
simu: +255 768 768 267

Mtunza hazina: Dastan Pahenge
simu: +255 768 062 127

Mitaa:
Uhambule, Ujindile, Banavanu, Vngutwa, Igelango, Mng’elenge, Mpululu, Mapogolo, Malyango, Magofu

Uhusiano:
Usharika wa Uhambule una udugu na usharika Kilutheri wa Kreuz-Christi-Kirche, Höhenkirchen, Ujerumani

Mwanachama wa uhusiano: Angelika Dörr, Mobile: +49 151 70184720, E-mail: geli.do506@gmail.com