Usharika wa Sadza

Mchungaji wa Usharika:  Rev. Atufena Mbembati
simu: +255 764 873 067

Mtunza hazina: Bethuel Mkupala
simu: +255 679 429 396

Mitaa:
Ipwani, Sadza, Itengelo, Isimike, Uhenga, Igomba, Amkeni, Ikulimambo, Ilamba, Idenyimembe

Uhusiano:
Usharika wa Sadza una udugu na usharika Kilutheri wa Jubilatekirche, Muniki, Ujerumani

Mwanachama wa uhusiano: 
Michael Harraeus, Barua pepe: michael.harraeus@gmail.com