Usharika wa Mtwango

Mchungaji wa Usharika:  Mch.  Osias Mkayula
Simu:  +255 757 847 133
Barua pepe: 

Mtunza hazina:  Stiwati Mhonjwa
Simu: +255 769 559 654

Mitaa: Mtwango, Lyalamu, Itunduma, Kona, Sovi, Ilonga, Welela, Korintho, Mungate, Sekondari, Nyamagala.

Uhusiano : Usharika wa Mtwango una udugu na usharika Kilutheri wa Gustav-Adolf-Kirche, Muniki , Ujerumani

Mwanachama wa uhusiano:  Christian Pesth, Simu:: +49 +49 8102/1491, Barua pepe: clpesth@web.de