Usharika wa Mjimwema

Mchungaji wa Usharika: Rev. Godlove Mtagawa
Simu ya mkononi: +255 764 427 266

Mtunza hazina: James Sanga
simu: +255 764 149 043

Mitaa: Mjimwema, Majengo

Uhusiano: Usharika wa Mjimwema una udugu na usharika Kilutheri wa Michaelskirche, Ottobrunn, Ujerumani

Mwanachama wa uhusiano: Christian Einsel, barua pepe: christian.einsel@elkb.de; Beate Rohloff, barua pepe: beate.rohloff@outlook.de