Usharika wa Iyayi

Mchungaji wa Usharika: Rev. Joram Mwakibibi
Simu ya mkononi:+255 752 876 261

Mtunza hazina: Debora Ligonile
simu: +255 758 404 662

Mitaa: Iyayi, Igando, Hanjawanu, Kihowa, Mayale, Sining’ombe, Sinai-Tononeka

Uhusiano: Ushirika wa Iyayi ana udugu na usharika Kilutheri Jesuskirche Haar na udugu HA-ILE NGO Haar – Ilembula pamoja na Ilembula na Kanamalenga

Mwanachama wa uhusiano kutoka Jesuskirche:
Pearl Pandion-Mueller, simu: +49 179 5928588
Barua pepe: pearl.pandionmueller@googlemail.com

Afisa ushirikiano HA-ILE: Jochen Doering, simu: +49 171 946 2078,
Barua pepe: jodoehaar@t-online.de