Usharika wa Igwachanya

Mchungaji wa Usharika: Mchg. Alfaro Mwakateba
simu: +255 762 863 461

Mtunza hazina: Benny Mtweve
simu: +255 756 708 089

Mitaa: Igwachanya, Ulanga, Nazareth, Idindilimunyo, Amni na Kiwele

Uhusiano: Usharika wa Igwachanya una udugu na usharika Kilutheri wa Petrikirche, Baldham, Ujerumani

Mwanachama wa Uhusiano: Angelika Wurlitzer, E-mail: WurlitzerA@aol.com,
Dieter Dalheimer, E-mail: Dieter.dalheimer@gmx.de