Leo wauguzi wa IIHAS wameadhimisha siku ya wauguzi katika ukumbusho wa Florence Nightingal
Tulifurahi kufanya upya kiapo cha kazi yetu na kuwasha mishumaa.
Kwa hiyo tukikumbuka siku hii ni nzuri kwa sababu imebakia sisi tuwe wauguzi vipi (Inick Mgobasa)