September 2020: Executive Council decided position of parishes

“Halmashauri Kuu ya KKKT -Dayosisi ya Kusini iliyokutana mwezi Septemba 2020 iliandaa mpango wa kuwabariki Wachungaji wapatao 12 na kuwatuma katika Sharika mbalimbali.Sasa unaweza kuwaona Wachungaji karibu wote wa Dayosisi ya Kusini.