SACCOS

Hili ni shirika la kifedha linalojishughulisha na kuweka na kukopesha pesa kwa wafanyikazi wa dayosisi. Ili kuwa mwanachama lazima awe na awamu ya awali ya kiasi fulani kulingana na kanuni za shirika.[:]