Usharika ya Uhambule

Mchungaji wa Usharika:  Mch. Amina Mtega
Simu ya mkononi: +255 768 768 267 

Mtunza Hazina: Dastan Pahenge
Simu ya mkononi: +255 768 062 127

Mitaa:
Uhambule, Ujindile, Banavanu, Vngutwa, Igelango, Mng’elenge, Mpululu, Mapogolo, Malyango, Magofu.

Uhusiano : Uhambule ina ushirikiano na Usharika ya Kilutheri Kreuz-Christi-Kirche, Höhenkirchen, Ujerumani.

Mwanachama wa ushirikiano: Angelika Dörr, Simu ya Mkononi: +49 151 70184720, E-mail: geli.do506@gmail.com