Usharika ya Saja

Mchungaji wa Usharika: Mch.  Atufena Mbembati
Simu ya mkononi: +255 764 873 067

Mtunza Hazina: Bethuel Mkupala
Simu ya mkononi: +255 679 429 396

Mitaa: 
Ipwani, Sadza, Itengelo, Isimike, Uhenga, Igomba, Amkeni, Ikulima, Ilamba, Idenyimembe.

Uhusiano : Saja ina ushirikiano na Usharika ya Kilutheri Jubilatekirche, München , Ujerumani.

Mwanachama wa ushirika: Michael Harraeus, Barua pepe:  michael.harraeus@gmail.com