Usharika ya Kitandililo

Mchungaji wa Usharika: Mchungaji Nicholaus Kuyava
Simu ya mkononi: +255 758 331 354
Barua pepe: 

Mtunza Hazina: Julio Myamba
Simu ya mkononi: +255 766 912 261

Mitaa: 
Kitandililo, Ihawaga, Usetule, Ibatu, Nyamande, Mlenga, Wangama, Mfumbi.

Uhusiano :
Kitandililo ina ushirikiano na Usharika ya Kilutheri Gabrielkirche, Ismaning/Unterföhring , Ujerumani.

Mwanachama wa ushirika: Michael Gaertner, Barua pepe: kitandililo@posteo.de