Usharika ya Iyayi

Mchungaji wa Usharika: Mch.  Joram Mwakibibi
Simu ya mkononi: +255 752 876 261

Mtunza Hazina : Debora Ligonile
Simu ya mkononi: +255 758 404 662

Sehemu za Kuhubiri: Iyayi, Igando, Hanjawanu, Kihowa, Mayale, Sining’ombe, Sinai-Tononeka

Uhusiano:
Iyayi ina ushirikiano na Usharika ya Kilutheri Jesuskirche Haar na Ubia wa HA-ILE NGO Haar – Ilembula pamoja na Ilembula na Usharika ya Kanamalenga.

Mwanachama wa ushirika Jesuskirche : Pearl Pandion-Mueller, Simu ya Mkononi: +49 179 5928588
Barua pepe: pearl.pandionmueller@googlemail.com

Mwanachama wa ushirikiano HA-ILE : Jochen Doering, Simu ya Mkononi: +49 171 946 2078,
Barua pepe: jodoehaar@t-online.de