Usharika ya Ikelu

Mchungaji wa Usharika: Mchungaji Harrison Kibiki
Simu ya mkononi: +255 752 877 665

Mtunza Hazina:  Yahaya Kitamkanga
Simu ya mkononi: +255 766 836 413

Mitaa:  Ikelu, Kiumba, Nyambogo, Emmaberg, Ilunda, Limakwale, Igumilo, Mjimwema

Uhusiano : Ikelu ina ushirikiano na Usharika ya Kilutheri Jerusalemkirche, Taufkirchen , Ujerumani.

Mwanachama wa ushirika : Barbara Ampenberger, Barua pepe: Barbara.ampenberger@online.de