Tukio maalum na Msaidizi Askofu Gudaga pale Lugoda
Katika Lugoda Dk Johnson Gudaga aliandaa utoaji maalum kwa shule ya msingi ya Lugoda baada ya kuwa Msaidizi wa Askofu
Ninakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu, ambaye unaambatana na kazi zetu daima.
Tangu Januari 2014 Ukurasa wa Nyumbani wa KKKT SD unapatikana.
Sasa, mnamo Mei 2025 ukurasa wa nyumbani umesasishwa.
Tafadhali tufahamishe kuhusu habari yoyote unayotaka ichapishwe.
Tunakutakia baraka za Mungu katika kila ufanyalo.
Kwa mawasiliano tafadhali bofya hapa!
Katika Lugoda Dk Johnson Gudaga aliandaa utoaji maalum kwa shule ya msingi ya Lugoda baada ya kuwa Msaidizi wa Askofu
HALMASHAURI KUU ya DAYOSISI YA KUSINI imechagua WACHUNGAJI WAPYA WA JIMBO pamoja na NAFASI YAO YA KAZI kwa MIAKA 4
Leo wauguzi wa IIHAS wameadhimisha siku ya wauguzi katika ukumbusho wa Florence Nightingal Tulifurahi kufanya upya kiapo cha
Askofu Dr George Mark Fihavango na msaidizi wake askofu Dr Johnson Gudaga wakizindua chumba kipya cha kuhifadhia maiti katika kituo
Siku hii, wanafunzi 13 wa Shule ya ILVTC Fitting walisherehekea kuhitimu kwao baada ya kumaliza mafunzo ya miaka mitatu na