Mkutano wa 5 wa Wachungaji Dayosisi ya Kusini Uliofanyika Chimala
Kwa neema ya Mungu, kuanzia tarehe 26 hadi 28 Agosti 2025, wachungaji wa Dayosisi ya Kusini wamekusanyika katika Shule ya
Ninakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu, ambaye unaambatana na kazi zetu daima.
Tangu Januari 2014 Ukurasa wa Nyumbani wa KKKT SD unapatikana.
Sasa, mnamo Mei 2025 ukurasa wa nyumbani umesasishwa.
Tafadhali tufahamishe kuhusu habari yoyote unayotaka ichapishwe.
Tunakutakia baraka za Mungu katika kila ufanyalo.
Kwa mawasiliano tafadhali bofya hapa!
Kwa neema ya Mungu, kuanzia tarehe 26 hadi 28 Agosti 2025, wachungaji wa Dayosisi ya Kusini wamekusanyika katika Shule ya
Kitabu cha Nyimbo za Kibena sasa Kinapatikana Tunayofuraha kuwatangazia kuwa kitabu cha nyimbo za Kibena sasa kinapatikana rasmi kwa
KAZI YA UINJILISTI JIMBO LA CHUNYA – KKKT Dayosisi ya Kusini Tarehe: 01–10 Agosti 2025 Utangulizi Katika kutekeleza wito wa
Leo ni moja ya siku muhimu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kusini ambapo Usharika mpya ya
Leo Mchungaji wa Jimbo Weston Mhema amesherehekea kustaafu kwake kutoka katika Kanisa la Kilutheri Tanzania. Walifanya
Harusi ilifanyika katika Usharika wa Rujewa Jimbo Chimala. Askofu Fihavango, Punda. Askofu Gudaga na viongozi wengine wa Dayosisi ya Njombe