Kusimikwa kwa Wachungaji Wapya Watano katika Kanisa Kuu la Njombe
Njombe, 21 Septemba 2025 Katika Ibada maalum na yenye baraka iliyofanyika Jumapili katika Kanisa Kuu la Njombe, Dayosisi ya Kusini
Ninakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu, ambaye unaambatana na kazi zetu daima.
Tangu Januari 2014 Ukurasa wa Nyumbani wa KKKT SD unapatikana.
Sasa, mnamo Mei 2025 ukurasa wa nyumbani umesasishwa.
Tafadhali tufahamishe kuhusu habari yoyote unayotaka ichapishwe.
Tunakutakia baraka za Mungu katika kila ufanyalo.
Kwa mawasiliano tafadhali bofya hapa!
Njombe, 21 Septemba 2025 Katika Ibada maalum na yenye baraka iliyofanyika Jumapili katika Kanisa Kuu la Njombe, Dayosisi ya Kusini
Tarehe: 08–11 Septemba 2025 Mahali: Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Emmaberg, Dayosisi ya Kusini – KKKT Kwa Neema ya
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini limehitimisha kwa mafanikio Kongamano lake la 9 la Maombi na
Kwa neema ya Mungu, kuanzia tarehe 26 hadi 28 Agosti 2025, wachungaji wa Dayosisi ya Kusini wamekusanyika katika Shule ya
Kitabu cha Nyimbo za Kibena sasa Kinapatikana Tunayofuraha kuwatangazia kuwa kitabu cha nyimbo za Kibena sasa kinapatikana rasmi kwa
KAZI YA UINJILISTI JIMBO LA CHUNYA – KKKT Dayosisi ya Kusini Tarehe: 01–10 Agosti 2025 Utangulizi Katika kutekeleza wito wa