Mradi wa Uchimbaji Visima

Mradi huu ulianzishwa ili kurahisisha maisha ya watu wanaoishi katika maeneo ambayo KKKT- Dayosisi ya Kusini hufanya kazi. Tunashukuru ELCA – WIS kwa kujitolea kwao kutembea na sisi.