Tarehe 7 Mei 2020:
Ajali ya moto mapema jioni – jengo limeharibiwa kabisa
Jengo hilo lilitumika kama mabweni ya wanafunzi wa ILVTC. Vitu vyote viliteketezwa. muda huu wanafunzi watakuwa wakiishi kwenye nyumba ya Mwinjilisti Kiginga ingawa inahitaji ukarabati na umeme.