Mnamo Mei 7, moto uliteketeza jengo la Njombe lililopo Ilembula, ambalo lilikuwa bweni la wanafunzi wa shule ya Fitting.
Mnamo tarehe 14 Mei Mkutano wa Bodi ya ILVTC na kamati ya MAIL ilijadili kuhusu matokeo. Hapa unaweza kuona picha za mkutano huo