MCHUNGAJI BOAZ JAPHET MBILINYI ASIMAMIWA RASMI KUONGOZA JIMBO LA MAKAMBAKO.

Makambako, Njombe – 28 Novemba 2025

IMG-20251210-WA0030

IMG-20251210-WA0025

Katika Ibada maalum iliyofanyika Usharika wa Makambako KKKT Dayosisi ya Kusini imemsimika rasmi Mchungaji BOAZ JAPHET MBILINYI kuwa Mkuu wa jimbo la Makambako. Tukio hili la kihistoria lilihudhuriwa na viongozi wakuu wa makanisa, wachungaji wa sharika mbalimbali, pamoja na waumini kutoka sehemu mbalimbali za jimbo hilo.

IMG-20251210-WA0036

 

IMG-20251210-WA0033

Ibada hiyo iliongozwa na Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mhashamu Dk George Mark Fihavango akisaidiana na  Msaidizi wa Askofu Mhashamu Dk Johnson Lunanilo Gudaga. Viongozi wengine waliojiunga na ibada hiyo ni Mkuu wa Seminari ya Kilutheri ya Kidugala, Mchungaji Wallace Lupenza pamoja na wachungaji washarika za jimbo la Makambako.

IMG-20251210-WA0037

 

IMG-20251210-WA0041

 

IMG-20251210-WA0023

Tembeza hadi Juu