Jimbo za Makambako

Sharika za Jimbo ya Makambako ni:
Ebenezeri, Igongolo, Ikelu, Ikwete, Kidziwa, Kitandililo, Lyamkena,  Mahongole, Makambako, Mavande, Mjimwema, Mtwango, Saja,  Umbali

Mkuu wa JimboMchungaji Yohana Mwambenengo
Simu ya mkononi: +255 759 636 347 
Barua pepe: Revym2011@yahoo.com

Mtunza Hazina: Malaki Kaduma
Simu ya Mkononi:+255 755 694 677
Barua pepe: malakikaduma88@gmail.com

Katibu : Happiness Nyika
Simu ya mkononi: +255 755 551 141
Barua pepe: joynyalusi@yahoo.com

Uhusiano
kwa Usharika za Kilutheri Munich-Mashariki / Kusini-mashariki, Ujerumani