Category Archives: Habari za jumla

12.12.2021: Kutambulishwa kwa Mchungaji mpya wa wilaya ya Makambako

Mnamo tarehe 12 Disemba
Askofu Dk.George Fihavango na Askofu Msaidizi Dk.Gabriel Nduye wakitambulishwa                                                                                 
           Mchungaji Yohana Mwambenengo   
                                     

akiwa Mchungaji mpya wa Wilaya ya Makambako katika Kanisa la Kilutheri la Makambako. 

Hazina ya KKKT Ilembula

Ndugu washiriki wote wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania:

Je, unajua KKKT ina hazina ya pekee sana – ukilinganisha na Makanisa mengine ya Kilutheri?
Si Ilembula tu, bali katika parokia zote.

Rafiki yetu Lufunyo kutoka Ujerumani aligundua hazina hizi kule Ilembula wakati wa ziara zake – labda utazijua baadhi yake! – na akatoa video.

Unaweza kuona hapa: Hazina katika Ilembula

 

Moto umeteketeza Jengo la Njombe lililopo Ilembula

Tarehe 7 Mei 2020:
Ajali ya moto mapema jioni – jengo limeharibiwa kabisa

Jengo hilo lilitumika kama mabweni ya wanafunzi wa ILVTC. Vitu vyote viliteketezwa.  muda huu wanafunzi watakuwa wakiishi kwenye nyumba ya Mwinjilisti Kiginga ingawa inahitaji ukarabati na umeme.

Mnamo tarehe 14 Mei Mkutano wa ILVTC-Bodi na MAIL-kamati ulijadili kuhusu matokeo ya moto na shughuli zinazofuata. Picha unaweza kuona ⇒ hapa .