Askofu Msaidizi Mpya Tarehe 20 Juni 2024 Mchungaji Dkt Johnson Gudaga amechaguliwa kuwa Msaidizi wa Askofu. Alikuwa Mkuu wa Chuo cha Uongozi na Teknolojia cha Amani, kilichopo Njombe. Uchaguzi ulifanyika katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Igumbilo