Tarehe 31 Oktoba Askofu Dk. George Fihavango na Askofu Msaidizi Dk. Gabriel Nduye walitambulishwa
Mchungaji Ezekia Anania Mlunja
kama Mchungaji mpya wa Wilaya ya Chunya katika Kanisa la Kilutheri Chunya.