26.09.2021: Kutambulishwa kwa Mchungaji mpya wa Wilaya ya Njombe
Tarehe 26 Septemba Askofu Dk. George Fihavango na Askofu Msaidizi Dk Gabriel Nduye walitambulishwa Mchungaji WESTON MOSES mhema
akiwa Mchungaji mpya wa Wilaya ya Njombe katika Kanisa la Kilutheri Idunda.