26.04.2025: Uzinduzi wa chumba cha kuhifadhia maiti Kidugala

Askofu Dr George Mark Fihavango na msaidizi wake askofu Dr Johnson Gudaga wakizindua chumba kipya cha kuhifadhia maiti katika kituo cha afya cha Kilutheri cha Kidugala.

 

Tembeza hadi Juu