12.12.2021: Kutambulishwa kwa Mchungaji mpya wa wilaya ya Makambako Mnamo tarehe 12 Disemba Askofu Dk.George Fihavango na Askofu Msaidizi Dk.Gabriel Nduye wakitambulishwa Mchungaji Yohana Mwambenengo akiwa Mchungaji mpya wa Wilaya ya Makambako katika Kanisa la Kilutheri la Makambako. [Show as slideshow]