05.12.2021: Kutambulishwa kwa Mchungaji mpya wa wilaya ya Kidugala Tarehe 5 Disemba Askofu Dkt George Fihavango na Askofu Msaidizi Dk Gabriel Nduye walitambulishwa Mchungaji Boaz Mbilinyi akiwa Mchungaji mpya wa Wilaya ya Kidugala katika Kanisa la Kilutheri la Kidugala. [Show as slideshow]