Halmashauri Kuu 19.-20.4.2017

Wapendwa wakristo wa DKU na wasomaji wote , tunaomba maombi yenu kwa ajili ya Halmashauri Kuu itakayo kutana tarehe 19.-20.2017. Kikao cha Halamashauri Kuu hiyo kinatarajiwa kufanya mabadiliko ya watumishi katika nafasi mbali mbali, kwa hiyo kutakuwa na mabadiliko kwenye tovuti yetu pia.