MKUTANO MKUU WA DKU 5.–10.10.2015

Kutakuwa na Mkutano Mkuu  wa KKKT–DKU ( Sinodi ya 21) utakaofanyika Kidugala kuanzia tarehe 5.10.2015 hadi 10.10.2015. Washarika na wote msomao ujumbe huu tafadhali kumbukeni kuombea mkutano huo maana kutakuwa na mambo mengi na yanayohitaji maamuzi magumu. Mungu libariki kanisa lako na Mungu ibariki KKKT–DKU