MKUTANO WA WA WACHUNGAJI 4.–7.6.2018

Wachungaji wote wa KKKT–Dayosisi ya Kusini watakuwa na mkutano tarehe 4.–7.6.2018 utakaofanyika katika shule ya Sekondari ya Wasichana ya Emmaberg. Tunaomba washarika wote muuombee mkutano huo.